Romans 5:15

15 aLakini ile karama iliyotolewa haikuwa kama lile kosa. Kwa maana ikiwa watu wengi walikufa kwa sababu ya kosa la mtu mmoja, zaidi sana neema ya Mungu na ile karama iliyokuja kwa neema ya mtu mmoja, yaani, Isa Al-Masihi, imezidi kuwa nyingi kwa ajili ya wengi.
Copyright information for SwhKC